Shirika la Habari la Hawza - Imamu Swadiq (a.s) amesema:
«لَعَنَ اللّه قاطِعى سُبُلَ المَعروفِ قيلَ وَما قاطِعوا سُبُلِ المَعروفِ؟ قالَ: اَلرَّجُلُ يُصنَعُ إلَيهِ المَعروفَ فَيَكفُرُهُ، فَيَمتَنِعُ صاحِبُهُ مِن أن يَصنَعَ ذلِكَ إلى غَيرِهِ.»
Mungu awalaani majambazi wa wema. Akaulizwa majambazi wa wema ni akina nani? (Imam Swadiq, as) akasema: Mtu anayetendewa wema lakini hashukuru (anakufuru), matokeo yake anamfanya mtenda wema aache kuwafanyia wema wengine.
Al-Kafi, Jz 4, uk 33
Maoni yako